Nyumba inapangishwa ilboru. Ni selfu ya room moja ya kulala, sebule jiko choo. Nyumba upo ndani ya geti wapangaji watatu umeme kila mtu na wakwake maji kushare, nyumba ina chumba kikubwa mno na bafu la maji ya moto. Bei ni 250,000. Ongea moja kwa moja na mwenye nyumba 0692620305
TZS250