Mali zilizopo Dodoma Jiji Leo Kuna mashamba mazuri sana ihumwa njia yakuelekea chuo Cha serikali za mitaa hombolo yanafaa kilimo, ufugaji na makazi yanafaa kupima viwanja ni eneo ambalo Bado halijapimwa Bei kuanzia million moja na nusu Kwa hekari mpaka million 3 inategemea na eneo shamba lipo na ukaribu wa barabara nicheki 0653878410,0688114139
TZS1,500,000