Projector ni mpya kabisa imetumika kama mara 8 hivi na ilinunuliwa mwaka jana. Haina tatizo wala haijawahi kuwa na tatizo lolote. Wahi mali bado ipo safi sana. Offer ya hdmi cable ya mita 5 na VGA cable.
TZS1,200,000