Dar pamejaa na bei hazishikiki. Usikubali kuwa mtu mzima uliefeli kuwekeza ujanani. Wazee waliowahi kimara, mbezi na kibamba enzi hizo kukiitwa polini Leo ndio mabosi wenye ardhi zao. Wahi mlandizi vigwaza upate kieneo chako mapema kabla bei hazijapanda utulie. Pia zipo heka nzima kwa milioni 4, 3 hadi 2. Zote ni kwa mguu tu kutoka lami ya morogoro. Karibu sana
TZS700,000