soma kwa vizuri hii pikipiki ilikua ndani tangu miaka ilikua ya company na ilikua kila mwisho wa mwezi service na kabla ya kuuza imetoka service tena full kila kitu tumebadili ni tvs zile za kwanza kabisa company ilikufa zikakaa nandi tumeamua kuuza
TZS800,000