1.Nyumba ya ghorofa Moja yenye chumba, choo na Baraza yake. 2.Bedroom mbili chini, choo na bafu. 3.Jiko na store 4.Sitting room na dining 5. Parking ya gari mbili. 6. Tunatengeneza garden 7. Kuna miti yenye ndege wazuri hulia wakati wote. 8. Jiko la nje la kisasa la Kuni.
TZS400,000