Nyumba yakumalizia inauzwa arusha mtaa njiro ndogo karibu na sheli ya simba hapa ni sellfu ya room tatu choo na jiko ndani kiwanja 10 kwa 13 haina mgogoro wowote mawasiliano 0675495727 ni nyumba kubwa sana maongezi ukishaikagua gari nauli 600 mpaka mjini
$9,500,000