NYUMBA INAUZWA, MBAGALA CHAMAZI ina vyumba 3 , kimoja ni master. ina seble. ina jiko. ina choo public. ina maji na umeme. ina fensi na geti. ina nafasi ya ku-park gari ndogo. umbali kufika stendi haizidi dakika 1 kwa miguu. bei ni milioni 28 tu...(28,000,000) - Haipungui. HAINA DALALI. Piga : 0620587262
FREE