Habari za wakati huu waungwana,naileta kwenu mali hii safi ambayo ina changamoto ya kioo (screen or monitor) ina michirizi kama inavyoonekana kwenye picha Ni aina ya ASUS F6V ni wewe tu kuja kuichukua kwa bei ya kutupa Nicheki kwa namba 0719008364
TZS150