Chukua google pixel 4xl imenyooka mno kila kitu kiko hot sana, charge inakaa mnoooo, Camera staki kuongea kabisaaaa.. Haina mkwaruzo wala mchubuko bei ya kuuza 275 mteja serious nichek inbox. Riceipt yake ipo namaanisha n mali halali yangu kabisa wai tuwa... Inbox me mteja serious
$275