kiwanja heka moja mil 4 kwa 3 karibu na lami

Usiiache hii kwa milion 4 tu nakupa heka nzima vigwaza mlandizi karibu na lami. Zipo heka 2. Pia za milion 3 zipo 4 na za milion 2 zote karibu na lami kama kilomita moja kasoro hivi kwa mguu tu unafika yaani lami unaiona ilee gari zikipita. Ya nini ujibanebane kweny 10x10 kwa milion 5 mjini?? Wazee wa zamani waliwah mbez na kimara kukiitwa polini sasa ni matajiri. Na wewe wahi mlandizi chapu. Usiseme sijakwambia.

TZS4,000,000

seller's name'
Name: Car D
seller phone number
Location: Mlandizi, Dar Es Salaam, Tanzania
uploaded on
Date: 14 May, 2024

Contact Seller

Product Images

A picture of kiwanja heka moja mil 4 kwa 3 karibu na lami
Image 1 of 3
A picture of kiwanja heka moja mil 4 kwa 3 karibu na lami
Image 2 of 3
A picture of kiwanja heka moja mil 4 kwa 3 karibu na lami
Image 3 of 3