Nahitaji Boxer X 125 kama ilivyoandikwa hapo juu, isiyozidi mwaka mmoja au mmoja na nusu! Pia Honda Ace/CB 125 ya Moh kama unayo kwa vigezo nilivyotaja hapo juu unaweza nitafuta! Napatikana kinondoni manyanya.
TZS1,000,000