Unatafuta kiwanja? Usihangaike na bei za mjini huziwezi. Wahi upate kieneo chako vigwaza ujenge utulie. Pia ni maeneo mazuri kwa uwekezaji. 20x20 kuanzia laki 8. Heka moja kwa mil 4, 3 mpka 2 na vyote ni kwa mguu tu toka lami. Hakuna mahali utapata kwa bei chee hivi kwa sasa. Wahi ukamate zipo chache.
TZS800,000