Nyumba mpya kali sana ya kisasa inauzwa: Nyumba Ina vyumba vi 3 vyote ni masta Dirning sitting jiko stoo public toilet bafu na study room Full makabati jiko na vyumbani Full A/C vyumba vyote Servant cotar zipo mbili Chumba masta na jiko na chumba masta More
TZS1