Nyumba selfu ya room 3 inauzwa ilboru

Nyumba inauzwa ilboru, Arusha. Nyumba ni selfu ya room 3 za kulala moja master bedroom, sebule, jiko, choo cha public, dinning room pamoja na store. Nyumba ni kubwa vzr kwa matumizi ya familia, ina eneo kubwa vzr kutosha magari 4/5. Pia kuna bustani ya mbogamboga. Nyumba ina maji ya Auwasa na umeme. Pia ina ukuta na geti linalo jitegemea. Nyumba ipo ilboru-visiwani ofisi ya kijiji. Pia unaweza kufika kwa njia ya sanawari Bei Millioni 58, maongezi kdgo yapo

TZS70 Now TZS58

seller's name'
Name: DEALS I
seller phone number
Location: Mianzini, Arusha
uploaded on
Date: 15 May, 2024

Contact Seller

Product Images

A picture of Nyumba selfu ya room 3 inauzwa ilboru
Image 1 of 5
A picture of Nyumba selfu ya room 3 inauzwa ilboru
Image 2 of 5
A picture of Nyumba selfu ya room 3 inauzwa ilboru
Image 3 of 5
A picture of Nyumba selfu ya room 3 inauzwa ilboru
Image 4 of 5
A picture of Nyumba selfu ya room 3 inauzwa ilboru
Image 5 of 5