Ombi la MSAADA

Habari Leo kutoka Zanzibar tuna huyu mtoto Anaitwa Hussein Ashrafu,mtoto huyu katika umri mdogo kapatwa Na maradhi ugonjwa hatari wa saratani ya jicho Wazazi wameshindwa kulipa gharama za matibabu kutokana na hali mbaya kimaisha ZINAHITAJIKA LAKI TISA 900,000TU Ili afanyiwe upasuaji wa jicho , Hali yake si nzuri n mtu wa kulia kila Mara kwa More

$250

seller's name'
Name: HANCY
seller phone number
Location: Zanzibar
uploaded on
Date: 21 May, 2024

Contact Seller

Loading recommendations...