Nina shida na pesa njoo ujiwahie kabla mwingine hajawahi fridge aina ya Hissence bado ni mpya kabisa haina tatizo lolote kama unavyoiona njoo ujichukulie fridge la kupoozea maji linauzwa kwa bei ya kutupwa Bei: laki tatu na thelathini ( 330000) maongezi yapo kidogo Location: mbezi goba dar es Salaam Contact: 0712 553907 au 0783 282099 kwa mteja aliye serious nicheki tufanye biashara karibu kwa maongezi zaidi usisite kunipigia simu
TZS330,000