Fekon cc 125 ipo sokoni haina kipengele cha aina yoyote stata jino Moja full documents zipo Bei million moja na laki mbili na elfu hamsini tu pikipiki kali sana imetunzwa vizuri sana haijawahi kufunguliwa popote wala kuguswa popote kimbia chap chap uwahi ipo Dar Mbande kisewe 0694372828
TZS1,250,000