Nyumba 4 za Apartments ndani ya fensi Moja yenye Geti ziko Goba jirani na Makongo. Umbali wa Meter 700 Toka Barabara ya Lami Ukubwa wa Kiwanja SQM 840. Kina hati jina la muuzaji. Kila Appartment Ina vyumba 2 vya kulala ambavyo ni self contained, Sebule, Jiko na choo cha wageni. Km. 2 kutoka barabara ya Lami Mti Pesa. Km 7 kutoka Mlimani City. Maji yapo muda wote. Nyumba zote zina wapangaji. *BEI Tshs 300ml* Wapangaji na wanalipa 400,000 kwa mwezi *#COMRAD HUSSEIN DALALI MAPINGA (MC) REAL ESTATE.* Comrade_Majumba
TZS300