Tvs Hlx cc 125 ipo sokoni haina kipengele cha aina yoyote stata jino Moja full documents zipo Bei laki Tano na elfu thamanini tu unapiga stata na kuondoka Engine kimya kabisa kavu imenyooka sana tena sana mlio wa Tvs bado upo vizuri sana njoo na fundi wako chap 0694372828 ipo Dar Mbande kisewe
TZS580,000