Nina kiwanja nauza. Maeneo ya Njia ya Ng'ombe Maji ya Chai (Arusha) Kilomita 1 kutoka Arusha -Moshi road Kina ukubwa wa 20 kwa 23 Njoo na millions 3 na laki 3 (3.3 milion) nikuoneshe kiwanja kilichopo katikati ya makazi ya watu,Chenye barabara, Chenye nguzo ya umeme na maji safi ya bomba karibu. Piga simu 0714807565
$33