Wakuu nahitaji CANTER kuanzia ton 2 muhimu iwe na tipper ambayo inahitaji hesabu kwa siku elf 50 (50,000/=) Pia gari ikiwa mpya tutaongea gari itafanya kazi Dar es salaam (kiwandani) tu.
FREE