Nyumba NZURI SANA INAUZWA MBEZI MALAMBA MAWILI SIFA YA NYUMBA INAVYUMBA VI NNE KIMOJA MASTER SEBULE KUBWA DAINING JIKO PUBLIC TOILET STOO PIA KUNA FUREMU YA DUKA MAJI YA DAWASA YAPO FENCED AND GATE UKUBWA WA ENEO SQM 700 UMILKI MAUZIANO YA SERIKALI YA MTAA BEI MILIONI 55 MAONGEZI YAPO PLEASE CALL 0622327095 AND 0653286871.
TZS55