Simu imetumika kidogo tu ni mpya, kamera kaliiii kama unavyoiona.nakupa na warranty ya miezi 6 simu halali hata ukitaka tukaandikishane polisi Nipo ilala njoo uichukulie kwangu kabisa Kwa laki na 60 tu Mimi nimenunua laki mbili na 70 miezi miwili ilopita Piga ((0655773503))
TZS160,000