Je umekua ukitafta mahali pakufikia uwapo kwenye jiji la arusha? Umetamani kuishi kama nyumbani uwapo ugenini?? Karibu kwa apartments zetu nzuri zilizopo hapa philips arusha dakika 5 kutembea kutoka barabara kuu na dakika 15 hadi mjini kwa gari. Hapa utapata chumba chenye kitanda kizuri sofa ya kupumzikia jiko lenye fridge na jiko la kisasa na vyombo vya kupikia pia bafuni kuna maji moto , pia kina wifi kwaajili ya kazi zako. Tupigie au whatsap +255758758995
TZS35,000