KIWANJA KINAUZWA

Plots mbili tofauti zinauzwa zipo ukonga majumba Sita wilaya ya Ilala mkoa DSM. Plots zina gusa lami kwenye kituo Cha mwendo Kasi. Nisu km kutoka Julius Nyerere International airport Kwa ujumla wake ukubwa wa eneo ni sqm 867 Bei mill. 650 Plots zote mbili zina hati ni eneo zuri kwa ujenzi wa nyumba za Biashara na makazi pia. Kama More

TZS650

seller's name'
Name: Rajabu I
seller phone number
Location: 110
uploaded on
Date: 12 June, 2024

Contact Seller