Tv ni LG inch 49. imevilia wino kidogo juu kulia kwenye ncha! ilishikwa vibaya wakati wa kuwekwa kwenye stand ya ukutani. hivyo imepelekea kuwa na mwanga wa wastani. naiuza bei ya HASARA kulingana na hali yake. Mwenye 450k aje tufanye biashara 0655 830 254
$450