*NYUMBA NZURI SANA INAUZWA KIMARA TEMBONI SARANGA* -Ina Vyumba Vitatu vya Kulala, vyumba viwili ni masterbedrooms, dinning, sitting, kitchen na public toilet -Nyumba nzuri Full A/c, Perving Blocks, Kisima cha Maji, Garden Safi, Jiko la Nje, Car Parking Kubwa Nyumba Iko Mtaa Mzuri Umejengeka Vizuri -Plot size Sqm 700 *Umiliki:* Mkataba wa Mauziano ya Serikali ya Mtaa *Bei ni shilingi milioni 120 maongezi yapo* 0655123147/0755230978
TZS120,000,000