PAGALA BOMA

PAGALA linauzwa lipo kivule kwa John Fedha wilaya ya Ilala mkoa DSM. PAGALA Lina vyumba vitano vya kulala kimoja master bila kusahau sitting room, dining na jiko kalo limechimbwa bado kufunika tuu!. Lipo kwe mtaa wenye miundo mbinu yote muhimu ikiwemo umeme na maji. Ukubwa kiwanja 18 -20 meter hivyo kuna eneo la kutosha kwa ajili ya parking iwapo utapiga fence. Bei mill 20 maongezi yapo, Simu, 0655123147/0755230978 Tembelea page yetu kwa Biashara zaidi https://www.facebook.com/profile.php?id=61550538873912&mibextid=ZbWKwL

TZS20,000,000

seller's name'
Name: Theonas P
seller phone number
Location: 110
uploaded on
Date: 24 June, 2024

Contact Seller

Product Images

A picture of PAGALA BOMA
Image 1 of 5
A picture of PAGALA BOMA
Image 2 of 5
A picture of PAGALA BOMA
Image 3 of 5
A picture of PAGALA BOMA
Image 4 of 5
A picture of PAGALA BOMA
Image 5 of 5