plot inauzwa ipo kibugumo karibu na shule ya msingi ya rupia primary school, kina ukubwa wa 20x18 majirani wote wameshajenga na wamehamia, kuna maji na umeme kwa njile, plot ina banda la chumba kimoja, bei ni 10M
TZS10