KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWA BEI YA KUTUPA Ukubwa-sqm 1800 Kimepimwa Hati bado Bei-ml 55 maongezi yapo Location- madale jiran na barabara ya kuelekea mbopo Umbali-km 2 kutoka main road madale mwisho Na mita 200 kutoka barabara kubwa ya madale kwenda mbopo Service charge elf 30 Karibuni Tupigie +255-658-582-977 Kujiunga na group letu la Whatsapp tuandikie msg Whatsapp tukupe link ya group letu
TZS1