Kiwanja na nyumba pagala vyote kwa pamoja vinayzwa mil 22
Kiwanja na nyumba (pagala) vyote kwa pamoja vinayzwa mil 22 tu. Ukubwa wa kiwanja ni mita 35/40 Nyumba Ina vyumba 4, sebure, choo na jiko. Huduma ya umeme na maji ipo. Location: vikawe shule ya msingi. Mob 0757100236