Jina lake ni Paul Mtumai Mkazi wa -mbeya Kilianza Kama kipele kidogo tu chini. Ya nyusi zake kipele ambacho kila mmoja aliamini kingepona chenyewe,wakafanya subira kiive ili wakikamue na kweli kiliiva lakini lilipo guswa kikageuka kidonda kisicho pona, zaidi uvimbe mwingine ulianza kuonekana katika jicho la pili, Macho yote maeili yameathiliwa More
TZS1,000