Tumekuja na Bidhaa Mpya kabisa ,Grills,Gates na Balcony nambazo hazipati Kutu wala Kupakwa Rangi,Grills Hizi zitakuondolea kabisa Usumbufu wa Kupaka Rangi na kubadilisha badilisha Grills sababu ya Kuoza kwa Kutu,Grills Hizi tunatengeneza kwakutumia Chuma cha Stainless Steel SUS 304 ambacho hutumika Kutengeneza Vijiko Vizito na Sufuria kwaajili ya Jiko za Gas.Hii Chuma ndio Chuma imara kuliko Chuma yoyote,Stainless Steel kwa Kiswahili ni Chuma Cha Pua.
FREE