Nyumba inapangishwa ipo dar es salaam machimbo stendi Ina master room, bedroom, citting room and kitchen room Umeme luku meter inajitegemea Maji yapo ndani Parking ipo Nyumba ipo ndani ya fensi Inapangishwa kwa gharama ya sh.300,000 kwa mwezi Kwa mawasiliano zaidi call 0769233063
TZS300,000