PIKIPIKI SAFI TZS1,800,000 Chuma hiyo naitupa chapchap Ni yakwangu mwenyewe, usajili wa jina langu,nilikuwa naitumia kuendea kazini tu, .injini haijaguswa .ni kama imetoka dukani Nicheki 0624024383 Bei 1,800,000/=
TZS1,800,000