Habari Katika picha apo chini ni ndugu yetu Faustine Magaduro Kutoka Moshi Faustine yupo mbele yetu akiomba MSAADA wa kushikwa mkono aweze kufanyiwa Upasuaji wa kansa iliyopembeni mwa kitovu chake inayosababisha kuvimba na kuharibika kwa tumbo Kilianza Kama kipele pembeni ya kotovu ambcho kilipona na kurudi Tena Kwa Sasa ugonjwa umekuwa awezi See more
$800,000