Karibu sana wateja wetu wae mnaohitaji ulinzi wa CCTV camera kwenye maeneo yenu ya biashara, nyumbani, maofisini hata kwenye mashamba. Camera zetu zina ubora wa hali ya juu kabisa zenye picha nzuri na angavu. Camera zetu ni full colour usiku na mchana na zinarekodi video na sauti kwa pamoja. Gharama zetu za ufundi ni nafuu kabisa na utalipa malipo ya kazi kumalizika. Tupigie simu namba 0766810108. Au 0789027620 KARIBU SANA
TZS10