MILIKI SHAMBA PORI, DOMA MOROGORO. Endapo unahitaji kufanya shughuli za kilimo na ufugaji mkoani Morogoro, basi tuna habari njema kwako. Shamba Lipo kijiji Cha mtipule, kata ya Doma, takribani kilomita 60 kutoka Morogoro mjini. Lina ardhi ya rutuba ifaayo kwa kilimo, unaweza pia kufanya shughuli za ufugaji. Halijafyekwa, linahitaji kusafishwa kidogo. Shamba Lina ukubwa wa ekari 10 na Bei ni 450,000 kwa ekari. Document iliyopo ni mkataba wa mauziano wa serikali ya mtaa. Wasiliana nasi 0743387260
TZS450,000