Hivi ulishawahi kukaa chini nakujaribu kupata jumla ya gharama unazoingia kwa kupika kutumia GAS na MKAA. -Mtungi mdogo Tsh 24 unatumia mwezi mmoja. -Mkaa kila siku elf1500 kwa mwezi elf45. -Kuna wenzangu tunatumia vyote pamoja, gas na Mkaa vyote unatumia kila siku, Hii ndo balaa Mwezi mzima unajikuta umetumia ELF60 na zaidi. Hii ni Pesa ndefu More
$1