KIWANJA KIKUBWA SANA KINAUZWA MKONZE DODOMA. Yamkini una plan ya kujenga dream house, iliyozingirwa na garden iliyosheheni miti ya matunda, parking lot ya kutosha. Ama Unataka kujenga apartments nyingi katika eneo moja. Location sahihi ni mtaa wa chinyika, takribani kilomita 2 kutoka stendi ya maua Mkonze, na kilomita 10 kutoka city center. Kiwanja kina ukubwa wa 3500sqm (inakaribia ekari moja). Kimepimwa na kina hati. Bei ni Tzs 10,000 kwa square meter moja. Tupigie 0743387260
TZS10,000