Simu iyo infinix s5 yenye gb 64 na ram 4, kipengele ni kimoja tu ina krek kidogo kwa juu, vingine vyote viko sawa na chaji inatunza sana tu, nipo mbagala au nicheki kwa no hizi 0782 803 542, Bei 120,000, ina kamera mzuri tu
$120,000