Kinglion cc 150.9A ipo sokoni haina kipengele cha aina yyte stata jino moja full documents zipo bei million moja na laki Tisa na elfu thamanini tu 1980000 pikipiki ni mpya haijatumika sana na haijaguswa popote njoo ujionee mwenyewe haijatumika sana na ilikuwa ya kutembelea tu bado ni mpya kabisaa haijaguswa popote pale hadi redio inafanya kazi 0694372828 ipo Dar mbande kisewe boss
TZS1,980,000