KIWANJA KIKUBWA SANA KINAUZWA MKONZE DODOMA. Kiwanja kipo mtaa wa chinyika, takribani kilomita 2 kutoka stendi ya maua Mkonze, na kilomita 10 kutoka city center. Kiwanja kina ukubwa wa 3500sqm (inakaribia ekari moja). Kimepimwa na kina hati. Kinafaa kujenga nyumba kubwa ya kuishi, apartments au godown! Bei ni Tzs 10,000 kwa square meter moja. Tupigie 0743387260
TZS10,000