WI-FI CCTV CAMERA Ipo kama bulb hivyo Ni rahisi sana kuinstall Inapiga alarm pale ambapo inadetect hatua au movement zisizokua za kawaida Ina taa Ina microphone kwa ajili ya kurekodi sauti na ina spika kwa ajili ya kutuma ujumbe wa sauti kwa watu waliokaribu na camera Ni rahisi sana kutumia More
TZS80,000