*Twin Tub Washing Mashine Kuanzia 7KG Hadi 18KG utazipata. *Mashine ni za manual zinafua na kukausha kidogo utamalizia kuanika juani kidogo. 7KG - 495,000/= 10KG - 595,000/= 12KG - 675,000/= 18KG - 1,095,000/= Mashine ni za uturuki na warrant unapewa miaka 2 dukani kwetu. Tunapatikana Dar es Salaam mtaa wa Samora kwa mawasiliano zaidi unaweza tupigia 0696639940.
TZS595,000