Nauza vitu vyaangu vyoote vya ndani kama ifuatavyo Meza ya jiko 35000/= Feni ya remote elfu20000/= Chanja ya vyombo elfu10000/= Cha viatu elfu8000/= Kiti Cha kusomea na meza elfu 45000/= Showcase Kali elfu 75000/= Makochi ya upepo yote set mbili elfu 75000 Sofa la watu wawiliii 120000/= Bed sofa ya chuma pure Kali laki220000/= Godoro inch 10 More
TZS550,000