Canon IR 1435i Printing speed 35 pages kwa dakika (Ina print kitabu cha page 300 kwa dk 10 tu) Ina ADF - inayowezesha ku Scan , Print na kutoa Copy kwa uharaka na wepesi Ina geuza karatasi Ina print/copy/scan Wino wake ni elfu 25 tu. Una refill hadi mara 6, very economy Bei 550,000.
TZS550,000