Nahitaji gari mojawapo kati ya hizi 1. Toyota Vellfire au 2. Toyota Alphard (new shape-sample picha nimeweka) Usajili: Namba E ya mwanzo au namba D ya mwisho mwisho nachukua Rangi: Yoyote sichagui Cc injini: ndogo (2360) Ofa yangu: 15.5milioni japo naweza panda kidogo. Ofa hii imejumuisha na hela ya dalali kama gari inapitia kwa dalali Simu|whatsapp: 0777777766 Napatikana: Dar es Salaam
TZS155