Mashine ya kazi Haina tatizo lolote,HP Compaq ram 4,HDD 320, processor yenye uwezo.Dvd rom na DVD writer na nakupa na keyboard safi.Usifikirie sana toa hiyo elfu 95 nikuachie upige kazi.Nicheck kama upo serious unahitaji na uifuate kimara vinane.0615455016,au 0769755016
TZS1